AJTC TV

Pages

  • Home
  • About us
  • Vision
  • Our tv
  • Tv program
  • Contact us
  • Classes and time table

Monday, 1 September 2014

MAWAZIRI WAPYA SIRYA WAAPISHWA...

Rais Bashar Assad wa Syria jana aliliapisha baraza lake la mawaziri huku akisisitiza kuwa, usalama na ujenzi mpya wa nchi hiyo ni vipaumbele vya serikali ya nchi hiyo. Sherehe za kuapishwa baraza jipya la mawaziri walioteuliwa mapema wiki hii, zilifanyika jana huko Damascus mji mkuu wa nchi hiyo. Wael al Halqi Waziri Mkuu wa Syria anaongoza baraza hilo jipya la mawaziri linalowajumuisha mawaziri wapya 11. Katika sherehe hizo za kula kiapo, Rais Assad wa Syria amesema kuwa mafanikio ya serikali mpya ya nchi hiyo yatategemea kuwa wazi serikali na kuaminiwa na wananchi. Bashar al Assad alichaguliwa kwa mara nyingine tena kuwa Rais wa Syria kwa muhula wa tatu katika uchaguzi uliofanyika mwezi Juni mwaka huu ambapo aliibuka na ushindi wa asilimia 88.7 ya kura. Syria imekumbwa na machafuko makubwa tangu mwaka 2011, huku nchi za Magharibi na waitifaki wao katika eneo khususan Qatar, Saudi Arabia na Uturuki zikiwaunga mkono wanamgambo wanaozusha machafuko na kufanya mauaji huko Syria
Habari na Rosemary MmbandoChanzo:BBC


Posted by Unknown at 00:42
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • DIEGO COSTA AANZA MAMBO CHELSEA...APIGA ZOTE MBILI THE BLUES IKIICHAPA REAL 2-0
    Diego Costa akisherehekea baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza Uwanja wa Stamford Bridge Na Olimpia Mallya MABAO ya mawili ya...
  • A.J.T.C STARS YAAMUA KURUDI KATIKA MICHUANO YA NANI ZAIDI CUP KWA MASHARTI MAKALI
    Kikosi cha AJTC stars (Picha na charles chami) Kocha wa timu ya A.J.T.C stars Idrisa Bakari  amethibitisha rasmi kwamba timu yake ...
  • WANAFUNZI WA A.J.T.C WATAKIWA KULIPA ADA KWA WAKATI
    Makamu mkuu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha bwana Elifuraha samboto amezungumza mwandishi wetu Hadija Hassan ( Picha ...
  • PINDA AFUNGUKA
    Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda leo amefungua mkutano wa Mawaziri wa Afrika wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya nje kutoka katika baad...
  • AJTC STARS WAPOKEA KICHAPO TOKA FIEDL FORCE OLJORO FC
    Kikosi cha Ajtc Stars
  • FM ACADEMIA WAJA TENA
     wasanii wa bendi ya fm Academia wakiwa jukwaani wanaimba wapili kulia ni Rais wa bendi Nyoshi Rapa wa bendi  ya Fm Academia...
  • (no title)
    Semina ya ujasiliamali ndani ya chuo cha uandishi wa habari Arusha ya toa fursa. Na.ELIZABETH SAID ADYSWELE Mkurugenzi wa mafun...
  • MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO NA KUSABABISHA VIFO 17 NA MAJERUHI 50
    Ajali hiyo imetokea leo  majira ya saa 11 jioni baada ya Basi la Kampuni ya Sabena lenye namba za usajiri T 110 ARV lililokuwa liki...
  • KIMATAIFA II WAKE WA WANAJESHI WAANDAMANA
    HABARI NA LINAH MVUNGI Wake wa wanajeshi wa Nigeria wameandamana Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wakipinga hatua ya jeshi kuwatuma waume ...
  • ARUSHA............ A.J.T.C:YABORESHA MIUNDOMBINU
       Afisa masoko wa chuo cha Uandishi uandi wa habari na                                   utangazaji  Arusha  Israel Mungule Kulia,Akiz...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2014 (56)
    • ►  October (2)
    • ▼  September (15)
      • UCHAFU KATIKA SOKO LA MBAUDA WAWAKERA WAFANYABIASH...
      • ARUSHA;SALUNI NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE..........
      • BIASHARA YA NYAMA YA MBUZI YASHAMIRI JIJINI ARUSHA
      • AJTC STARS NA AJTC QUEENS WAJIPANGA KUSHINDA BONAN...
      • UJASIRIAMALI NDIYO MKOMBOZI WA MWANAMKE NCHINI
      • ARUSHA............ A.J.T.C:YABORESHA MIUNDOMBINU
      • UJASIRIAMALI NDIYO MKOMBOZI WA MWANAMKE NCHINI
      • Alshabaab lathibitisha kifo cha Godane
      • SIMBA SC KUINGIA KAMBINI MBEZI BEACH KESHO
      • CARL FRAMPTON AMTWANGA KIKO MARTINEZ NA KUBEBA TAJ...
      • BAADA YA EBOLA KUWA TISHIO UMOJA WA AFRIKA WAKUTAN...
      • Wazazi wa Sotloff watoa kauli yao!!!!
      • Marekani yaombwa isaidie Ukraine
      • Serikali ya Libya yakosoa matamshi ya Rais wa Utur...
      • MAWAZIRI WAPYA SIRYA WAAPISHWA...
    • ►  August (26)
    • ►  July (9)
    • ►  June (2)
    • ►  May (2)
Picture Window theme. Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.