Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa
habari za michezo nchini(Taswa) Juma Pinto (kushoto) akikabidhi kikombe
kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu wa chuo cha waandishi wa Habari na
Utangazaji Arusha (AJTC) huku (kushoto) Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa
mkoa wa Arusha,Jamila Omary aka
"Dangote" akishuhudia kwa karibu; Bonanza la vyombo vya Habari
lililofanyika katika uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa
habari za michezo nchini(Taswa)Juma Pinto(kushoto) akikabidhi zawadi nyingine toka TBL
kwa nahodha wa timu ya chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC).
Mwakilishi
toka TBL akikabidhi kikombe na Zawadi
kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Pete wa chuo cha waandishi wa habari
Arusha (AJTC) katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.