AJTC YAIBUKA KIDEDEA KWENYE BONANZA LA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa
habari za michezo nchini(Taswa) Juma Pinto (kushoto) akikabidhi kikombe
kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu wa chuo cha waandishi wa Habari na
Utangazaji Arusha (AJTC) huku (kushoto) Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa
mkoa wa Arusha,Jamila Omary aka
"Dangote" akishuhudia kwa karibu; Bonanza la vyombo vya Habari
lililofanyika katika uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa
habari za michezo nchini(Taswa)Juma Pinto(kushoto) akikabidhi zawadi nyingine toka TBL
kwa nahodha wa timu ya chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC).
Mwakilishi
toka TBL akikabidhi kikombe na Zawadi
kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Pete wa chuo cha waandishi wa habari
Arusha (AJTC) katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mega Trade Bw. Goodluck Kway akikabidhi Zawadi
ya Pesa Taslimu kwa mshindi wa Pili , katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Mashabiki
wa Timu ya Chuo cha Waandishi wa Habari Arusha (AJTC) wakifurahia
Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wachezaji
na Mashabiki wa Timu ya Chuo cha Waandishi wa Habari Arusha (AJTC)
wakifurahia Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini
Arusha.
Mwakilishi
toka TBL akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Pete wa
chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC) katika Bonanza la Waandishi
wa Habari, Jijini Arusha.
Wanachuo
cha Waandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi
wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wadau
wakuu wa habari kutoka kushoto ni Sele "the Engineer" , Bertha Mollel ,
Seria Tumainiel na Victor Machota ,katika Bonanza la Waandishi wa
Habari, Jijini Arusha.
.
Kushoto
ni Doto (Chanel Ten) akiwa na Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa kwa mkoa wa
Arusha, Bi. Jamilla Omary, katika Bonanza la Waandishi wa Habari,
Jijini Arusha.
Wapiga picha wanapo pigwa picha na Mpiga Picha ; Pamela Mollel na Filbert Rweyemamu
wadau wakuu kutoka Chuo cha waandishi wa Habari na Utangazaji (AJTC) wakiwa uwanjani
Kutoka kulia ni Flbert Rweyemamu (Mwananchi), Bw. Elifuraha Samboto (Mkufunzi-AJTC)
Elifuraha Samboto na Filbert Rweyemamu, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wanachuo
cha Waandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi
wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha. Picha Zote
na Gadiola Emanuel wa
No comments:
Post a Comment