Friday, 23 May 2014

AJTC TV YAANZA KURUKA ONLINE

Kwa mara ya kwanza sasa vipindi vya ajtc tv vyaanza kuruka hewani hii ni kutokana na maendeleo mazuru ya chuo cha Uandishi wa Habari  na Utangazaji arusha(AJTC).AJTC TV ni kitengo cha Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ambacho hutumika katika kuwa andaa wanachuo katika mazoezi ya vitendo kwa kuandaa Vipindi mbalimbali vya Television ambavyo wamekuwa wakianda vipindi vya Live na Recorded.

Nurudin Paul akitangaza taarifa ya habari ndani ya chumba cha utangazaji cha ajtc tv
"Tumeamua kuanzisha AJTC TV online kwa sababu uwezo wa wanachuo wetu umekuwa mkubwa sana kiasi cha kuweze kuandaa vipindi vyenye ubora na vilivyo tengenezwa kitaalamu kiasi chakuweza kuwafanya Watanzania milioni 45 kuvitazama na kuelimika pia kuburudika,pia tunataka tuwandae wanachuo walio bora na watakao toka wakiwa na uzoefu mzuri,hadi hivi sasa wameweza kuanda vipindi vingi na wanaendelea kuanda kila siku,Na napenda kuwaomba wazazi na walezi pia na mashirika kutazama ajtc tv katika blog yetu na pia you tube ili kuona vipindi vinavyo andaliwa na watoto wao."Alisema Mwalimu wa Kitengo cha AJTC TV bwana Isaac Chiwanga.
Roda Kimathi akitangaza kipindi cha burudani cha Uwanja wa raha cha ajtc tv
Pia ajtc tv unaweza itazama kupitia YOU TUBE kwa kuandika AJTC TV hapo itakuletea mtililiko mzima wa vipindi vyetu vyote.

Thursday, 8 May 2014

Ajtc tv television Daima mafanikio


Arusha journalism training college chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ambacho pia kinamiliki TV inayo itwa ajtc tv,tv inayotumiwa na wanachuo kwa ajili ya mazoezi ya vitendo,Pia wanachuo wana nafasi ya pekee ya uandaaji wa vipindi ambavyo ni Recorded na kuviedit katika mashine za kisaa na kwa kiwango cha juu kabisa yani DTV(digital television). Pia wana fursa ya pekee katika kutangaza vipindi ambavyo ni Live katika mfumo wa kisasa kabisa ya HD(high definition).
moja ya digital background ya ajtctv
Ajtc tv ni studio ilio leta mafanikio makubwa sana hasa katika kuandaa watangazaji wa tv na waandaaji wa vipindi vya tv.
ajtc tv control room

Tunawaanda wanachuo kwa umahili wa hali ya juu kupitia vifaa vya kisaa na vya ubora vilivyo fungwa kiubunifu kwa ajili ya kurusha matangazo yalio na ubora na yalio andaliwa kiubunifu na umahili mkubwa.