Arusha journalism training college chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ambacho pia kinamiliki TV inayo itwa ajtc tv,tv inayotumiwa na wanachuo kwa ajili ya mazoezi ya vitendo,Pia wanachuo wana nafasi ya pekee ya uandaaji wa vipindi ambavyo ni Recorded na kuviedit katika mashine za kisaa na kwa kiwango cha juu kabisa yani DTV(digital television). Pia wana fursa ya pekee katika kutangaza vipindi ambavyo ni Live katika mfumo wa kisasa kabisa ya HD(high definition).
|
moja ya digital background ya ajtctv |
Ajtc tv ni studio ilio leta mafanikio makubwa sana hasa katika kuandaa watangazaji wa tv na waandaaji wa vipindi vya tv.
|
ajtc tv control room |
Tunawaanda wanachuo kwa umahili wa hali ya juu kupitia vifaa vya kisaa na vya ubora vilivyo fungwa kiubunifu kwa ajili ya kurusha matangazo yalio na ubora na yalio andaliwa kiubunifu na umahili mkubwa.
|
ajtc broadcasting room |
Daima tutakuwa mbele kuwaanda wanachuo katika ubora wa hali ya juu katika kuandaa na kutangaza vipindi vya tv kwa ubora wa hali ya juu.Na pia usikose kututazama katika mtandao wetu wa www.ajtctv.blogspot.com.
Kumekuwa na vipindi ambavyo wanachuo wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji,wamekuwa wakiviandaa kwa ajili ya ajtc tv.Wanachuo wameweza kuandaa vipindi na matangazo kwa ubunifu ambayo umeleta mabadiliko katika tasinia ya utangazaji wa tv.
|
Hii ni kiashirio cha ajtc tv taarifa ya habari kilicho andaliwa kwa ubunifu na unadhifu mkubwa. |
No comments:
Post a Comment