Thursday, 3 July 2014

TANZANIA YATWAA TUZO

 
Dar es Salaam. Tanzania inaongoza kwa kuwa na mitaji mikubwa ya uwekezaji kutoka nje katika nchi za Afrika Mashariki, ripoti mpya imebainisha.

WAJUMBE TADEA WAACHWA KWENYE MATAA DAR


Na Linah Mvungi
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha Tadea kutoka mikoa mbalimbali wameushutumu uongozi wa chama hicho kwa kuwatelekeza baada ya kumalizika kwa kikao hicho cha juu na kuwafanya waishi maisha magumu jijini Dar es Salaam.

SPORT John Cena Ashinda Kwa Kishindo Na Kuwa Bingwa Mpya Wa Mchezo Wa WWE.

Well the champ is ..... you know,hatimaye  ndoto ya John Cena kuwa Wwe Heavyweight champion imetimia,hii ni baada ya kupambana na miamba nane katika ulingo mmoja hapo jumapili huko marekani.

Cena ambaye sio mchezaji mzuri sana katika mapigano ya kutumia ngazi,alionesha uwezo wake pasipo watu kutegemea na kupambana hadi mwisho na kuhakikisha anatoka na ubingwa na ndivyo ilivyokuwa kwa upande wake.

Mechi ilianza baada ya miamba nane kuingia uwanjani hapa nawazungumzia John Cena,Randy Orton,Roman Reigns,Alberto Del Rio,Sheamus,Kane,Antonio Cessaro pamoja na Bray Wyatt,Sheamus ndiye aliyekuwa wakwanza kupanda ngazi nakutaka kuichuka mikanda hiyo miwili lakinihaikuwa bahati yake kwani wapiganaji wenzake walikuwa wananguvu bado.

Mechi ilikuwa ngumu mno na kupelekea wengine kupata majeraha sehemu mbalimbali za miili yao.Randy Orton aliumia sehemu kichwani baada ya kushushiwa kichapo na mbabe Roman Reigns.


Triple H na mkewe ambaye ni mkuu wa kitengo cha operesheni walikuwa wameketi pembezoni mwa ulingo kushuhudia mechi hiyo,wapiganaji walipambana kwa nguvu zote na kuifanya mechi hiyo kuingia kwenye rekodi za mechi kali za WWE.

John Cena ameandika rekodi ya kuishika mikanda hiyo miwili{Wwe Heavyweight Champion}baada ya watu kama vile The Rock{people`s champion},Stone Cold Steven Houston,na aliyekuwa anaishikilia mikanda hiyo Daniel Bryan maarufu kama Mr.YES ambaye aliikabhidi kwa kwenda kwenye matibabu.STORY BY KID KING

Wednesday, 2 July 2014

TAIFA STARS WALALA UGENINI





 Na Mercy Rodricky
WENYEJI Botswana Leo hii huko Uwanja wa Taifa Jijini Gaborone wameichapa Tanzania Bao 4-2 katika Mechi ya Kirafiki. 

WAUAJI WA MTAWA DAR WAKAMATWA

 www.ajtctv@gmail.com
habari na
HADIJA HASSAN
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi ambao wanahusishwa na mauaji ya mtawa wa

Tuesday, 1 July 2014

ENTERTAIMENT : MSANII 50 CENT AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

                                 

HAZINA ALIYOACHA RAGE KWA TIMU YA SIMBA


Rage

Na 
JESCA MHOKA,
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, ameshusha pumzi na anakwenda kupumzika huku akidai kuiacha Simba na mambo matatu ya kihistoria.

Wakati akiwa amekamilisha uongozi wake kwa klabu ya soka ya Simba, Ismail Aden Rage amefafanua mambo makubwa matatu aliyoiachia klabu hiyo kabla ya kukabidhi mikoba.

MBOWE APIGWA STOP UENYEKITI CHADEMA