Tuesday, 1 July 2014

HAZINA ALIYOACHA RAGE KWA TIMU YA SIMBA

Rage

Na 
JESCA MHOKA,
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, ameshusha pumzi na anakwenda kupumzika huku akidai kuiacha Simba na mambo matatu ya kihistoria.

Wakati akiwa amekamilisha uongozi wake kwa klabu ya soka ya Simba, Ismail Aden Rage amefafanua mambo makubwa matatu aliyoiachia klabu hiyo kabla ya kukabidhi mikoba.

Rage amesema cha kwanza kikubwa ni  akaunti ya klabu yenye kitita cha Shilingi milioni 420 , pili  ni Uwanja wa Bunju na tatu makubaliano yake na Benki  ya Posta kuhusiana na kadi za wanachama ambazo kama uongozi mpya utakuwa makini, klabu itaingiza pesa nyingi kupitia mtindo huo

Akikokotoa kiasi hicho cha Sh420 milioni, Rage alisema kati ya hizo zimo Sh60 milioni za mauzo ya Shomari Kapombe aliyesajiliwa na Azam FC, Sh160 milioni za kodi ya mapango ya jengo la Simba lililopo Kariakoo jijini Dar es Salaam na Sh100 milioni za wadhamini.
Akizungumza na Mwanaspoti pia Rage alionyesha hisia zake juu ya kero alizokuwa anakutana nazo alipokuwa madarakani, alisema:  “Kuongoza klabu kubwa kama Simba ni lazima ujitoe, hata hivyo vurugu kubwa za klabu ambazo zinatokea huwa zinasababishwa na njaa tu. Hivyo kumaliza muda wangu nashukuru maana nakwenda kupumzika.”.www.ajtctv.blogspopt.com
Source: Mwanaspoti
STORY NA
                JESCA MHOKA
Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika. Katibu mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu amesema usajliwa mchezaji Coutinho ni sehem ya muendelezo wa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu na kama ilivyokawaida wao mambo yao ni kimyakimya. Coutinho ambaye alizaliwa tarehe 12 Januari 1990 amekulia kwenye mji wa Berem ambapo alianza kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Paysandu Sports Club kabla ya kwenda nchini Asia katika nchi ya Myanmar katika klabu ya Rukhapura United. Mpaka anajiunga na klabu ya Young Africans Andrey Coutinho alikuwa akichezea timu ya Castanhal EC iliyopo kwenye Ligi Daraja la pili ambao aliweza kuichezea kwa michezo yote ya mzunguko wa pili mwaka 2014. Katika hatua nyingine kikosi cha Young Africans kinatarajia kuendelea na mazoezi kesho chini ya kocha Marcio Maximo katika ufuke wa Coco Beach ikiwa ni siku yake ya kwanza na jioni katika Uwanja wa Bandari Tandika kuanza kazi baada ya leo kuwa na mkutano wa ndani na wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2884#sthash.aYBQ0vVq.dpuf

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika. Katibu mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu amesema usajliwa mchezaji Coutinho ni sehem ya muendelezo wa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu na kama ilivyokawaida wao mambo yao ni kimyakimya. Coutinho ambaye alizaliwa tarehe 12 Januari 1990 amekulia kwenye mji wa Berem ambapo alianza kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Paysandu Sports Club kabla ya kwenda nchini Asia katika nchi ya Myanmar katika klabu ya Rukhapura United. Mpaka anajiunga na klabu ya Young Africans Andrey Coutinho alikuwa akichezea timu ya Castanhal EC iliyopo kwenye Ligi Daraja la pili ambao aliweza kuichezea kwa michezo yote ya mzunguko wa pili mwaka 2014. Katika hatua nyingine kikosi cha Young Africans kinatarajia kuendelea na mazoezi kesho chini ya kocha Marcio Maximo katika ufuke wa Coco Beach ikiwa ni siku yake ya kwanza na jioni katika Uwanja wa Bandari Tandika kuanza kazi baada ya leo kuwa na mkutano wa ndani na wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2884#sthash.aYBQ0vVq.dpufvv

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katibu mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu amesema usajliwa mchezaji Coutinho ni sehem ya muendelezo wa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu na kama ilivyokawaida wao mambo yao ni kimyakimya.
Coutinho ambaye alizaliwa tarehe 12 Januari 1990 amekulia kwenye mji wa Berem ambapo alianza kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Paysandu Sports Club kabla ya kwenda nchini Asia katika nchi ya Myanmar katika klabu ya Rukhapura United.
Mpaka anajiunga na klabu ya Young Africans Andrey Coutinho alikuwa akichezea timu ya Castanhal EC iliyopo kwenye Ligi Daraja la pili ambao aliweza kuichezea kwa michezo yote ya mzunguko wa pili mwaka 2014.
Katika hatua nyingine kikosi cha Young Africans kinatarajia kuendelea na mazoezi kesho chini ya kocha Marcio Maximo katika ufuke wa Coco Beach ikiwa ni siku yake ya kwanza na jioni katika Uwanja wa Bandari Tandika kuanza kazi baada ya leo kuwa na mkutano wa ndani na wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2884#sthash.aYBQ0vVq.dpuf

No comments:

Post a Comment