Tuesday, 1 July 2014

ENTERTAIMENT : MSANII 50 CENT AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

                                 

Habari na Rajabu Kibakaya                                                                                            
Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu kuhusu suala la msanii Diamond PlatnumZ, kuzimikiwa na warembo ambao kibongo bongo wana chukuliwa kuwa high classy. Wema Sepetu, Jackline Wolper, Jokate Mwegelo, Aunty Ezekiel, Irene Uwoya, Yule mbunge wa viti maalumu( Jina kapuni ) kwa kutaja wachache, achilia mbali makumi ya wasichana warembo wanao jitokeza hadharani kuelezea namna wanavyo tamani kuwa katika mahusiano na Platnums. Kinacho wapa watu maswali mengi ni kwa nini Diamond anazimikiwa na warembo kiasi hicho?

Curtis James Jackson III a.k.a 50 Cents ni msanii maarufu wa Hiphop kutoka Newyork, Marekani. Katika interview iliyo fanyika mnamo mwaka 2008 baina yake na jarida moja la masuala ya burudani nchini humo, alikuwa na kitu cha kusema ambacho uhalisia wake una shabihiana na tunacho kiona kwa Diamond. Je unapenda niseme? Wanao taka nisiseme waseme sio; SIO, . Na wanao taka niseme waseme ndio; NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Walio sema ndio wameshinda. Alisema hivi :
"A man becomes as attractive as an attractive woman when he becomes successful and is publicly noted “ 

Somo ambalo 50 Cents anatupa watoto wa kiume ni kwamba, ili uweze kupendwa sana na wanawake katika namna ambayo wanaume huwapenda wanawake wanao vutia ( attractive women ), ni lazima uwe na pesa za kutosha, usiishie tu kuwa na pesa za kutosha, hakikisha watu wana fahamu kuwa una pesa za kutosha. Wanawake ( tena wale warembo wenye hadhi yako ) watakuwa wanakutafuta wenyewe.

WHO IS A SEXY MAN ?: 

Msikilize 50 Cents :
“Women are attracted to men who offer security, financial security. And if you have money and you’re famous, women find that sexy.”
So when women say this man is sexy, they actually means this man has cash. Wewe uliyepata bahati ya kusoma uzi huu unatakiwa utambue kuanzia leo, when u become financially stable, u automatically become attracted to women, so yale maswali like, nifanye nini msichana huyu anipende and all that should not come from u AGAINOOO!

Haya sasa, mie nimemaliza, usiendelee kulaumu wachawi BUREE!, Wakati aliyekuroga wewe, ni YULEE, aliye kataa kukupeleka SHULE,
Ya kitaa, ndio hii ninayo kupaa, shauri yako ukikataa, utakuja pigwa na butwaa utakapo patwa na mabalaa "


No comments:

Post a Comment