na SALEHE ABDALAH
Kitu kimefika: Bondia Muingereza, Carl Frampton kulia akiwa amemchapa ngumi ya usoni kwa mono wa kulia Kiko Martinez katika pambano ambalo alishinda kwa pointi 119-108, 119108 na 118-111 kutwaa ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa Super Bantam mjini Belfast.

Martinez alidondoshwa chini raundi ya tano, lakini akasimama imara na kumalizia vizuri pambano

Bingwa mpya: Frampton akiwa amevishwa taji lake la dunia baada ya kumshinda Martinez nyumbani mjini Belfast
No comments:
Post a Comment