Kim Kardashian ameweka Instagram picha ya rapper Kanye West akiwa
studio na mtoto wao wa kwanza Baby North West mwenye umri wa mwaka mmoja
sasa ikiwa na Maneno
#BringYourDaughterToWorkDay. Kanye West mwenye miaka 37 ni miongoni mwa rappers wanaopenda kuweka mambo wanayoyapenda wazi kama familia,muziki na mtoto wake.
#BringYourDaughterToWorkDay. Kanye West mwenye miaka 37 ni miongoni mwa rappers wanaopenda kuweka mambo wanayoyapenda wazi kama familia,muziki na mtoto wake.
Hivi karibuni ilisemekana urafiki wa Kanye
West na Jay Z umebadilika baada ya Jay Z Na Beyonce kukosa harusi ya
Kanye na Kim bila kutoa sababu yeyote.
No comments:
Post a Comment