Tuesday, 12 August 2014

MICHEZO Video: Mwandishi wa habari Alambwa Kibao Na Diego Maradona

Mchezaji wa zamani wa Argentina aliyeacha historia kubwa katika ulimwengu wa soka, Diego Maradona amempiga kibao mwandishi wa habari mbele ya umati huku kamera zikichukua tukio zima.

Imeelezwa kuwa Maradona alichukizwa na kitendo cha mwandishi huyo kumtolea maneno machafu mkewe wa zamani.
                                      TAZAMA VIDEO HAPA  CHINI 
         
         HABARI KUTOKA WWW.JIMMCARTER.COM                  HABARI NA MERCY RODRICKY

No comments:

Post a Comment