Dean Ambrose kuzichapa na Seth Rollins siku ya BATTLEGROUND
mwezi wa huu wa 7 tarehe 20 mwaka huu 2014 huko marekani siku ya jumapili.
KUTOKA KUSHOTO NI DEAN AMBROSE,KULIA NI SETH ROLLINS |
Dean pamoja na Seth walikuwa kundi moja lilijulikanakwa jina
la THE SHIELD ambalo liliundwa na Dean Ambrose,Seth Rollins pamoja na Roman
Reigns,Kundi ambalo lilisumbua sana katika mchezo wa mieleka kwa takribani
mwaka mmoja ambao ni waka 2013.
Kundi lilisambaratika baada ya Triple H kumrubuni Seth
Rollins ili aamie kundi lake la EVOLUTION lililokuwa linaundwa na Triple H
,Batista pamoja na Randy Orton,Batista aliondoka hivyo kundi kubaki wawili na
kumrubuni Seth ili kuwa watatu 3.
Dean anategemea kushinda ili kurudisha ama kulipiza kisasi
kwa Seth kuondoka na kuharibu kundi na huku Mr.MONEY IN THE BANK Seth anategemeAa
naye kushinda ili kuleta heshima kwenye kundi lake jipya la EVOLUTION ambalo
alihamia mwezi wa 6 tarehe 2 mwaka 2014.Macho yote kwenye mechi hiyo kama
shabiki unahisi nani atashinda? HABARI NA JOHANESS KINANILA HABARI TOKA JIMMCARTER.COM
No comments:
Post a Comment