kutoka kushoto ni nahodha wa timu ya wasichana ya mpira wa pete Bi Edna |
jezi hyo ya rang ya blue ambayo
wamekabidhiwa na mwenyekiti wa michezo taswa mkoani arusha bi jamila omary
baada ya ushindi mnono walioupata katika bonanza la waandishi wa habari tarehe
28/6/2014 lililofanyika katika viwanja vya sheik
nahodha wa timu ya wasichana ya mpira wa
pete katika chuo cha uandshi wa habari na utangazaji arusha edna mollel
akitambulisha jezi yao mpya watakayoitumia katika mchezo huo

28/6/2014 lililofanyika katika viwanja vya sheikh amri abeid arusha
aidha bi jamila amewaasa wadau wa mchezo
huo hapa nchini kuwa wajitume kwa kufanya mazoezi dhidi ya mchezo wa mpira wa
pete ili waweze kuinua mchezo huo hapa nchin ili waendeleze vipaji vyao na
hatimaye kushiriki mashindano ya kimataifa
kwa upande wake nahodha wa timu ya ajtc
queens edna mollel amesema kuwa japo wanakabiliwa na changamoto mbalimbali kama
vile ukosefu wa viwanja pamoja na walimu wa mchezo huo anawaomba wenzake
waskate tamaa na wsbweteke kwa ushindi huu waliopata ila waeendelee kufanya
mazoez kwa nguvu na kupambana ili wanyakue makombe! meng zaidi.
HABARI NA MERCY RODRICKY:
No comments:
Post a Comment